Bukobawadau

TAMASHA LA CRISMAS LAFANA KWA KIASI KIKUBWA

 Tamasha la Christmas 2014 lililo andaliliwa na Waimbaji wa Kapotive Star Singers- Bukoba Chini ya hudhamini wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited kupitia kinywaji chake cha Windhoek Draught limeweza kufana kwa kiasi kikubwa na kukonga mioyo wa Watazamaji. 
Watoto wanafurahia zawadi na kumsifu Father Krismas
 Waimbaji wa Kapotive Star Singers Bukoba wakitowa burudani ya aina yake katika tamasha la Crismas lililofanyika  Jana katika Ukumbi wa Linas Night Club.
 Wana Kapotive wakiendelea kuonyesha Uwezo wao kwenye tamasha la Krismas lililo fanyika jana.
 Mgeni Rasmi Kwenye tamasha la krismas lililofanyika katika Ukumbi wa Linas akifuatilia burudani kwa ukaribu zaidi.
 Taswira mbalimbali katika tamasha la krismas lililofanyika ndani ya ukumbi wa Linas.
 Waimbaji wa Kapative wanaoimba kwa ustadi na upako wa hali ya juu,
 Sehemu ya mashabiki walio hudhuria tamasha hilo.
 Aunt Fona pichani
Kiongozi wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bukoba Ndg Andrew  Kagya kifafanua jambo wakati alipokuwa akizangumza na mashabiki waliohudhuria katika Ukumbi wa Linas.
Kapotive Star Singers-Bukoba wakiwa kazini
 Teddy Rweyendela akiwaimbia wananchi wa Manispaa ya Bukoba katika tamasha la krismas lililofanyika katika Ukumbi wa Linas Dec 25,2014.
 Yesu ni Mwema (Jesus is Gracious) Wimbo huu unapendwa na wengi hasa kutokana na ujumbe wake pamoja na mpangilio mzuri wa sauti
pamoja na mpangilio mzuri wa sauti
 Kizazi cha Ukodak.
 Kwa hisia kali hadi raha...!
Kapotive wakiendelea kutoa burudani kwa mashabiki wao
 Maukodak kama kawaida.
Sehemu ya Masister wakifuatilia burudani ukumbini.
 Aunt Fona na Ms Brittany Leitch
Masister na Waumini kama wanavyo onekana pichani
Wachezaji wakiwajibika Jukwaani.
 Akiimba kwa hisia kwenye tamasha la Crismas lililo fanyika Jioni ya Jana Dec 25,2015.
 Hakika shughuli si mchezo.
Kapotive Star Singers -Bukoba , ukweli ni kwamba wanatisha  kwa kuimba na kucheza pia
Upande wa Vijana wa Kazi ndani ya Ukumbi wa Linas.
 Waumini walio waliohudhuria tamasha la Christmas katika ukumbi wa Linas.
 Mtoto mdogo ambaye ni shabiki wa nyimbo za Injili akiwa sambamba na matukio Ukumbini.
Waimbaji mahiri wa Nyimbo za Injili Kapotive Star Singers na Skwadi ya wachezaji wakiwajibika Jukwaani kwanamna ya pekee.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Udereva cha Lake zone Ndg Winston Kabantega
 Wadau wakifuatilia kinacho.
 Mdau Ishengoma Bilikwija akifurahia burudani .
Swala zima la matukio likichukua kasi...
 Hivi ndivyo mambo ya Kapotive yalivyokuwa ,Kundi ambalo ni maarufu ndani na nje ya nchi  kutokana na kazi nzuri wanayoifanya wakiongozwa na NduguAndrew M. Kagya.

Next Post Previous Post
Bukobawadau