TAMASHA LA KRISMASI NDANI YA LINAS LEO !!
Usikose Tamasha maalum la Krismas leo dec 25 kutoka kwa Waimbaji mahiri
wa muziki wa Injili, 'Kapotive Star Singers Bukoba' litakalofanyika
katika ukumbi wa Linas Night Club kuanzia majira ya saa 9 Mchana.
Kiingilio katika tamasha hilo ni sh 5000 kwa wakubwa na 3000 kwa watoto.
NYOTE MNAKARIBISHWA !