UKUMBI MPYA ANGELINA SOCIAL HALL KUZINDULIWA DEC 26,2014
Angelina Social Hall ni ukumbi mpya wa sherehe mbalimbali na mikutano
wenye kila sifa na kila kitu cha kisasa kuzinduliwa Dec 26,2014 Mjini
Bukoba maeneo ya Rwamishenye /Kiteyangwa .
Mgeni Rasmi atakuwa Mh.Balozi Khamis Kagasheki ,Mbunge wa Bukoba Mjini.
Angelina Social Hall ni Ukumbi wenye uwezo wa kuingiza watu zaidi ya 1000 waliokaa kwenye viti umetengenezwa kisasa zaidi na kuongeza nakhish ndani ya Manispaa Bukoba.
ANGELINA SOCIAL HALL IN BUKOBA MUNICIPALITY GLAND OPENING CEREMONY FRIDAY 26th/DEC/2014 ,LOCATED IN RWAMISHENYE/KITEYAGWA AREA, ALONG THE ROAD TO PEACE SECONDARY SCHOOL.
THE HON. AMBASSADOR KHAMIS SUED KAGASHEKI TO BE A GUEST OF HONOUR

MUHIMU:BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya
matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili
kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi
kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241