WALANGIRA WAWEKA HISTORIA USIKU WA NANI KAMA MAMA!
Sehemu ya Wadau pichani kutoka Jijini Dar es Salaam, waliopo mjini hapa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Krismas na kuacha historia isiyofutika kirahisi
Mulokozi hee...,Mulokozi ..hee..!!Ben Mulokozi ...!!”Hivyo ndivyo sauti na miridimo ilivyokuwa ikisikika wakati Ben Mulokozi aka Mr.appetizer alipokuwa akiwatunza Fedha nyingi waimbaji na wanenguaji wa Malaika Bendi.
Rapper mahiri wa Malaika band akipokea pesa kila anapotamka jina la Ben Mulokozi.
Utaratibu wa dollar jaman
Salute kwake Ben Mulokozi kutoka katika meza ya wadau
Macho ya watazamaji ndani ya ukumbi wa Linas Night Club

Omwana wo Mkazi 'Haidary' akifanya kufuru
Yote haya yametokea usiku wa Dec 26,ndani ya Ukumbi maarufu wa Linas Night Club.
Christian Bella anamfuata Justuce na kuanza kumuimbia wimbo wake maalum
Christian Bella anamfuata Justuce na kuanza kumuimbia wimbo wake maalum
Mlangira Justuce Lugaibura akitumia 'Dollar' kufanya yake na kuacha historia isiyofutika kirahisi!
Tukio lililowashangaza wengi wakati Mlangira Ben Kataruga akiachia bunda moja baada ya nyingine zenye noti za ten ten.
Ndugu Samuel Lugemalilaa kiachia tu mihela kama mtu aliyechanganyikiwa.
Mainda na mme wake Jamal wakifuatilia kinacho endelea
Mdau Optaty Henry (Katibu) na binti zachwa wakicheck na Camera yetu ukumbini
Wadau kwa wa pamoja wakifanya 'cheers'.
Well come back Mr .Jackson Rwebangira
Christian Bella & Ms Brittany Leitch
Anaonekana Bibie Marry Mke Muimbaji na kiongozi wa Malaika Band Christian Bella ,ikumbukwe kuwa Christian Bella alisema wimbo 'Nani Kama Mama' aliutunga baada ya
kumshuhudia live mke wake akijifungua
Maua Ramadhani wa Daftari.
Vurugu ya kitu pesa kwa mara ya tena ikaanza....!Huyu ndiye Rais wa Kanda ya ziwa Mlangira Joha Lugenge
Mama JOJO na nani kama Mama..!
Vurugu ya kitu pesa kwa mara ya tena ikaanza....!Huyu ndiye Rais wa Kanda ya ziwa Mlangira Joha Lugenge
Mama JOJO na nani kama Mama..!
Mama JOJO akiendelea kuachia wekundu kadhaaa...
Hakika wadau wa mji wa bukoba wamepata kushuhudia tukio la Malaika Band na matukio ya Walangira/ watuto wa kihaya wanao tokana na familia za kichief wanavyo weza kutumia fursa.
Kama kawaida katika kushow love wanadada Dyner Van Jimmy na Nancy Nas
Tathmini Ukumbini watu ni nyomi ile mbayaaaa!!
Mkali Dj Sley wa 88.5 Kasibante Fm Radio akishow love na mwenzie.
Mr Bube na wanae Kemmy na Koku.
Kufikia hapa BUKOBAWADAU BOG tunawatakia "heri ya mwaka mpya" tukiwa na furaha ya kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia.
Pia kwa taarifa /matukio na shughuli mbalimbali kama mikutano, sherehe, misiba,Makongamano na kadhalika waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Devotha na Anitha walivyo chomoka usiku wa Nani kama Mama
Mama Pavy aka Mama Kakuta na Mshaija Prospa.
Shangwe zikiendelea.
Wanenguaji wa Kike wa Malaika Band wakiwajibika Jukwaani.
Ruta Rwabigene akifanya yake.
Naye Mdau Rashid anasogea Jukwaani kufanya yake
Burudani ikiendelea kwa mashabiki wa Malaika Band.
Wahaya bhana ...'Ngu lelo basiiii'!
Anafika Super Mkude kusalimiana na meza ya wadau, pembeni anaonekana Mr. Rahyn.
Mwisho bukobawadau Blog tunakulea sehemu ya Video mwanzo mwisho yaliyojiri usiku huu.
SHUKRANI KWAKO KWA KUTUCHAGUA SISI!!