Bukobawadau

WINDHOEK DRAUGHT GROOVEBACK 6th ANNIVERSARY PARTY

 Windhoek Draught Grooveback 6th Anniversary Party was held on the 13 December 2014 to celebrate Grooveback Saturdays at East 24 Bar (Windhoek House)
 featuring east africa's finest guest deejays - Dj Pinye, Dj Nijo and Dj Pierra (all from Kenya). Grooveback consists of Dj Peter Moe, KT, Dj Crucial, Dj Pq, JB & Tony. This event was exclusively sponsored by Windhoek Draught in collaboration with Grand Solution
Matukio ya yaliyojiri katika (Grooveback Party )mahadhimisho ya miaka 6 ya kinywaji cha Windhoek Draught .
Kinywaji bora cha Windhoek Draught
Sehemu ya wahudumu wa The Arcade wakiwa katika Pouzi wakati wakiwahudumia wateja wao waliofika katika Sherehe ya Miaka Sita ya Grooveback iliyofanyia juma lililopita.
Wahudumu wa The Arcade katika picha ya pamoja
Wadau wa Windhoek kutoka kushoto ni Joseph Boniface, Beneth Benedict,Emmanuel Mbaule, Daudi Kibogo , Mzamva, Jerome na wengine  wakiwa wanapata Picha ya pamoja wakati wa Sherehe ya kuadhimisha Miaka sita ya Grooveback
Wadau wa Windhoek pichani anaonekana Daudi Kibogoyo,Salum Kabanda akifuatia Meneja Biashara wa Bia ya Windhoek  Ndg Joseph Boniface na Emmanuel Mbaule pichani kulia.

Windhoek Draught ndo habari kubwa mjini kote.
Dj Pierra kwa mtambo
 Kwanja likiendelea non stop
Anaitwa Dj Pinye
Mashabiki wa Grooveback na watumiaji wa Windhoek Draught wakiwa katika Tabasamu la Hatari ...
 Kama inavyo onekana pichani ,Party ikiwa inaendelea huku Windhoek Draught zikiwa zimezagaa kwa kila Meza!
Wamjini utawajuwa tu kupitia
Dj Pierra Kutoka Nchini Kenya nae hakuwa nyuma kuendeleza Burudani ya Muziki kwa ajili ya Kusherekea Grooveback Party iliyotimizia Miaka sita
Full Kadansee...
Taswira Dj box.
Anaonekana  Dj Pierra Kutoka Nchini Kenya akiendelea kusababisha

Kwa mtambo ni  Dj KT kutoka Tanzania akiwa akiendelea kushusha Burudani
Katika 1 na 2 ni DJ Pinye Mkali kutoka nchini Kenya .. akiangusha Burudani ... Hii ilikuwa hatare sana Mashabiki walifurahia Burudani hii ya nguvu.
Hakika si mchezo.
Taswira mbalimbali wakati Party likiendelea.
Ni mwendo wa ku party...
 Wakishow love mbele ya mwanalibeneke
 Katika hili na lile  anaonekana Dj Nijo kushoto na DJ Pinye Mkali kutoka nchini Kenya
  Burudani ya nguvu ikiendelea kutoka kwa Dj  DJ Pinye .
 Dj Crucial,Dj Peter Moe,Dj Pierra na DJ Pinye katika picha ya pamoja.
 Mh. Jerry Silaa
 Wadau Mbalimbali wa Mabibo Beer and Wine wakipata picha za kumbukumbu  huku Burudani ya nguvu ikiendelea kutoka kwa Dj JB
 Kushoto ni Mkurugenzi wa East 24 Bar  Ndugu Jerome Rugemalira katika Sherehe ya kuadhimisha Miaka sita ya Grooveback



Next Post Previous Post
Bukobawadau