AQDI YA BI AZATH NA BW.SALIM JAN 24,2015
Ni Matukio ya
Shughuli ya ndoa ya Bw. Salim Faridu na Bi Azath Hamud ,shughuli hii imefanyika jana Jumamosi Jan 24 ,2015 kuanzia majira ya dhuhuri maeneo ya Kashai Bukoba Nyumbani kwao na Bi harusi.
Kama kawaida pale Bukobawadau pale inaposhirikishwa katika shughuli yoyote na popote,Ndivyo tulivyoweza kujipanga ili kukufikishia taswira yaliyojiri katika shughuli ya wanandoa hao.
Tunashuhudia Bi harusi namna alivyo pendeza,amepambwa vizuri ,na kuonyesha utulivu kwenye tukio zima kwa100%, Hongera sana Bi Azath hongera sana Bw. Salim Faridu ,hakika mwanamke ni Haiba.!!

Bwana harusi katika hili na lile na mpambe wake
Matukio mbalimbali Ukumbini
Sheikh akiongoza Dua ya ufunguzi rasmi wa Shughuli hii.
Sheikh akiendelea kusoma Dua maalum kwa ajili ya Ufunguzi wa Sherehe ya Aqdi ya Bwana Salim Bw. Salim Faridu mzaliwa na mwenyeji wa Karagwe na Bi Azath Hamid
Sasa ni burudani safi ya Kaswida
Sehemu ya wazazi wa Bi harusi wakiongozwana Mama Mniru kuwatunza wanafunzi wa Madarasa
Bi Aziza Aziza Abdulmarik naye anashindwa kujizuia kwa midundo ya Qaswida mwanana!
Mwalimu na wanafunzi wa Madrasa wakiendelea wakiimba Qaswida kwa ustadi mkubwa
Bwana Abdulrazak naye akaguswa na Ainavyofanya vizuri sana
Anainuka Bwana Harusi
Vile Ash K Bin Amar akiwajibika katika matukio
Sheikh Kakweke akitoa nasaha juu ya ndoa
Kwa mbaliii anasikika mama akisema ;'Alhamdulillah'!!
Mzee Abdulmalik Mwijage , mzazi wa Bi harusi akitoa nasaha zake.
Mara baada ya nasaha maharusi wanakabidhiwa vyeti vya ndoa yao.
Bwana Salim mara baada ya kukabidhiwa mkataba wa ndoa yake sasa ni halali kwa raha zake kupata kile kinacho stahili
Inshallah hongereni sana Azath na Salim Mwenyezi mungu atawajalia na Awape dhuriyt swalhin!!!
Kati ya yale machache yaliyojili katika Shughuli hii ni pamoja na Uwepo wa Dr. Abas Byabusha , Mdau kutoka Ughaibuni akipewa nafasi maalum kutoa Salaam .
Wa mwisho kushoto ni Ndugu Optaty Henry (katibu ) katikati mwenye (Black)ni Mdau Abdulrazack
Waumini wakipokea Salaam mahususi kutoka kwa Dk. Abas Byabusha.
Katika hali ya kupendeza na kuvutia Ukumbini namna wanawake walivyojitanda!
Kwambalii Maswala ya Kuchat..! kama vile...yanahusika..!
Uncle Salum Organizer ndiye mshereheshaji wa Shughuli hii akiwajibika
Sehemu ya waalikwa upande wa wanaume.
Kwabashasha wanaonekana Wadau mbele ya Camera yetu.
Mashallah!!!!!!!!
Taswira wadau katika hili nalile..
Mahafudhi Abdulmalick Kaka wa Bi harusi.
Hongera sana ...! Hongereni wajukuu zangu !..hongera kwa ukamilifu kabisa...
Haji Swahibu akiwaameongozana na familia yake kutoka Masaka nchini Uganda kushiriki Aqdi hii ,akikabidhi zawadi wake kwa wanandoa hawa.
Zoezi la kutoazawadi likiendelea.

Ndugu wa familia kutoka nchini Uganda wakiendelea kukabidhi zawadi zao kwa maharusi wetu Bwana na Bibi Salim Faridu
Yote juu yayote ni furaha tu ikiendelea kutawala ukumbini.
Eeeh Azath 'Wanula ' Ebyehetari!!!
Ndivyo anavyo onekana Bi Azath tuona na kukubali gauni lake lilishonwa na Designer maarufu katika ukanda huu.
Mzee Abdulmalik Mwijage akiteta na Uncle Salum.
Anasimama Haji Kazinja katika Utaratibu wa kutoa neno la Shukrani kwa Wageni wote
Tunarudia..hongera sana Bi Azath hongera sana Bw. Salim Faridu ,hakika mwanamke ni Haiba.!!
Taswira mbalimbali Ukumbini Shughuli ikiendelea.
Sehemu ya Wanafamilia katika katika picha ya pamoja
Haji Kazinja akiagana kwa kuwakumbatia kwa furaha familia ya Byabusha.!!
Hakika Changamoto ilikuwa kubwa shughuli ilikuwa Safi , Wadau wamejitokeza kwa kila rika .
Mama Jamila Songoro na Mama Hawa Galiatano
Kwa matukio mengineyo ya Shughuli ya Ndoa, matukio ya Mnuso , Zawadi na taswira mbalimbali utaweza kuona katika picha zaidi ya 200 kupitia katika Ukurasa wetu wafacebook maarugu kama Bukobawadau Entertainment Media
BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 39724
Mama Mlezi wa Bi Harusi wakati wa kutoa Salaam na kuwashukuru Wageni wote walioweza kuhudhuria shughuli ya mwanae.
BUKOBAWADAU BLOG tunawaombea MOLA awajalie kizazi bora pia awajalie kheri na salama katika Maisha ya ndoa yenu!
Kwa matukio ya picha zaidi ya 200 JIUNGE nasi kupitia hapaBukobawadau Entertainment Media