Bukobawadau

BURUDANI MAALUM SIKU YA 'VALENTANE DAY'

Shemeji Investment wakishirikiana na Zachwa Investment wanakuletea Usiku maalum wa mahusiano siku ya 'Valentane Day' Feb 14,2015 ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club .
Usiku huo utakuwa na Dinner & Dancing, kiingilio 'Tshs 70,000 Double' na Tshs 35,000 Single'

 Moto wa Burudani usiku huo utawashwa na Msanii Barnaba Boy' kutoka katika jumba la vipaji la THT, Msanii mwingine katika kukoleza Usiku huo ni Muimbaji na mtunzi mahiri Amini Mwinyimkuu  maarufu kwa jina 'Amini' mwenye kipaji cha kipekee kabisa .
Mkazi wa Bukoba Usikose Usiku maalum siku muhimu yenye maana kubwaa!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau