ELIMIKA BURUDIKA NA 'STATUS' ZA WADAU !!
Ni vema tukafahamu kwamba siri ya furaha ya
kweli haipo katika vitu tulivyo navyo au vile tusivyo navyo, haipo
katika vile vinavyotokea au visivyotokea kwetu, Kitu cha muhimu zaidi na
ambacho kimekuwa chimbuko la furaha ya kweli ni uhakika na umadhubuti
wa penzi au "upendo wa kweli". Wale waliobahatika kumpata mtu wa
kushiriki maisha katika furaha hii, basi hao wanakubaliana na nasi jinsi
ambavyo hii imekuwa ni zawadi njema kutoka kwa Mungu -Michael M & Albin Muhazi
You are not what has happened to you. You are what you choose to become.-Willy (Msouth) Mtore.
Nashukuru mungu kwa junipa watu wanao nipenda kwa dhati.-Achi Hamisi.
Read something positive every night and listen to something helpful every morning-Shuby
Hainamaana kuwa na USHETANI kisa huna UMALAIKA ndani yako. Jaribu japo kua na UBINAADAMU basi-Gara B Kubwa
Said Ntimizi-Do the best you can until you know better. Then when you know better, do better.
Michael Muhazi-No matter how long you have traveled in the wrong direction, you can always turn around.
"Create a life that feels good on the inside, not one that just looks good on the outside.”-Delius
Seriously, be nice to your animals because they love you more than you deserve and more than any human ever will-Marco Kahwa
Ukinidelete wenzio wananidownload-Abdulrazak Onyx Byabusha.
Delius Rugaibula- My life,my choices,my mistake,my lessons not ur bussness.
Happy-Benny
'Before you judge how I live my life, I suggest you take a good look at your own'-Justuce.
"Thamani ya penzi lako iko juu ya kilele,hakika nimefika kwako si kwa udi wala ndwele' wacha nikusifu mapenzi unayaweza' mwilini nitoe khofu' hakika sitokubeza'Daima mimi na weeeee!"-Farid Rugusha
With God all things re possible.mathew 19:26-Leticia Pontian.
More umate umate more matatizo-Rwehumbiza Rashid.
Hili ndilo NENO LA BWANA, najua swali linalofwata ni kwamba kitabu hiki kinapatikana wapi, hilo jibu nitakufunulia badae, Picha kwa hisani kubwa ya FB page ya Papaa Samuel Sasali.
Fahamu kwamba kila unalolinena au kulitenda katika mahusiano yako kwa kujua au kwa kutokujua lina nafasi ya kuyajenga au kuyabomoa mahusiano hayo. Kuwa macho sana na maneno unayoyazungumza na matendo unayoyatenda - Chris Mauki