Bukobawadau

HABARI KATIKA PICHA LEO ALHAMIS JAN 8,2014

 Hivi ndivyo ilivyo kasi ya Wajasiriamali katika kubuni mbinu mbalimbali za ushindani wa biashara.Pichani ni muonekano wa baa ya mwanachi aliyetambuliwa kwa jina moja la Bolli iliyopo  katika kata ya Bwanjai ,Wilayani Missenyi
Hili ni Kanisa kuu la Parokia Katoliki ya Kanyigo,Jimbo Katoliki la Bukoba linaloendelea kujengwa,baada ya lile la zamani kubomolewatokana na uzee,ambapo hivi karibuni zilipatikana sh milioni 87 wakati wa harambee,ikilengwa kukusanya milioni 90 kwa hatua ya kuezeka bati.

Next Post Previous Post
Bukobawadau