KIFO CHA OMWANA GERALDINA MBONEKO
Familia Dk. Venant Mboneko inasikitika kutangaza kifo cha Mzazi wao
mlezi Omwana Geraldina Mboneko kilichotokea Dec 30 ,2014 katika
hospital ya Mugana.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Ijumaa Jan 2,2015 kijijini Kigarama -Kanyigo saa 9 jioni
Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa wafiwa!!
MUNGU ametoa na Yeye ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!!