Bukobawadau

MAAFA YA RADI KIJIJINI BULEMBO KAMACHUMU!!


Wananchi wa Kijiji cha Bulembo Kamachumu wamepata pigo na hasara kwa kupoteza mifugo yao kutokana na radi kubwa iliyopiga Siku ya jana Jumatano 21, majira ya saa 4:30 asubuhi na kupelekea vifo vya Ngombe wapatao 20 waliokuwa marishoni,pichani kulia ni  sehemu ya mabaki ya ngo'mbe.
 
Pichani kushoto anaonekana mmoja wa Wanakijij Ma Frutunatha Kokunura akitokwa na machozi kwa kupoteza Ng'ombe wake watatu.
 
Sehemu nyeusi katika picha ni mwonekano jinsi eneo lililo unguzwa na radi .
HAKIKA  BULEMBO IMEKUWA SEHEMU YA MAJANGA,MWAKA JANA ENEO HILI KULITOKEA UPEPO MKALI LEO TENA MWANZONI MWA MWAKA RADI INAPIGA! .
BUKOBAWADAU TUNATOA POLE KWA WAHANGA WA TUKIO HILI!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau