PUNGUZO LA BEI KWA 21% KUTOKA CHICHI HOTEL,IPO KINONDONI 'B' JIJINI DAR ES SALAAM
Uongozi wa Chichi Hotel iliyoko Kinondoni B jijini Dar es
salaam, kwa kushirikiana na Uongozi wa Bukobawadau unapenda kuwajulisha wateja wake wote na ndugu wadau wa blog yetu
kuwa inatoa punguzo la bei kwa chumba kwa asilimia 20 kutoka katika bei yake ya shilingi 70,000 Punguzo hili ni kwa wadau wake
wote.
Hii ni katika kupunguza makali
baada ya sherehe za mwisho wa mwaka.
Punguzo hili la 21% litawezekana kwa kufanya booking kupitia Uongozi wa Bukobawadau wasiliana na MC Baraka kwa simu no 0784 505045 /0673 505045 /0754 505053 au Email bukobawadau@gmail.com
ambaye atafanya mawasiliano ya moja kwa moja na uongozi wa Chichi Hotel
kufanikisha punguzo hili.
Ofa hii ni kuanzia leo tarehe 20 Januari hadi 28
Februari 2015.
Karibu sana
****************************************************