Bukobawadau

SHANGWE MKESHA WA MWAKA MPYA 2015 BK !!

Wadau wa Mjini Bukoba wameungana na  Watanzania wenzao na mataifa  mengine Duniani katika kusherekea mwaka mpya 2015. 
  Hivi ndivyo wadau walivyo upokea mwaka mpya kwa shangwe za aina yake Bukobawadau  tunakufikishia namna shamrashamra za mwaka mpya zilivyoendelea maeneo mbalimbali

 Taswira ya Candle Lighty Party ya mwaka Mpya inavyoonekana katika katika Ukumbi wa Space Beach Motel.
 Mc Jerry akiwajibika katika sherehe ya mkesha wa Mwaka Mpya
 Mama Zachwa na wanae pichani wakifurahi ujio wa mwaka mpya 2015
Wanaonekana Warembo pichani wakati Camera yetu iliangaza pande za Space Beach Motel Bukoba
 Princess Nancy Nas  & Ms Dinna vanny Jimmy



 Hakika Wadau walijipanga vyema kwa ajili ya mapokezi ya mwaka mpya,sehemu kubwa ya Vijana wa kileo walionekana maeneo hayo pasipo na shaka kabisa, Mambo ya Berbaque na Cocktatail yalihusika sambamba na Ngoma kali kutoka kwa madj mahiri
Watoto wa Ki bk   ndani ya Shangwe za Mwaka mpya 2015 maeneo ya fukwe za Space Beach.
Kutoka kushoto Mzee Kelvin,Kaka yetu Mwalimu wetu Mjuni Kataraiya na Mlangira Deo Lugaibura
Katikati anaonekana Mrs Abdulmalick Tungaraza.
Wadau wakiendelea kufurahia Mwaka Mpya.
Muda wa kupata msoso  maalum wa Mkesha wa mwaka mpya.
 Familia ya Zachwa sehemu ya Waandaji wa Shughuli hii wakipata msosi.
 Kijana Yusuph Mawalla.
Ash K Bin Amar DJ Ashmir wa Linas Night Club akiwa kajipanga kwa mtambo
 Wakati huo mambo yalikuwa hivi Upande wa Walkgard Transit Hotel wadau wameungana kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha Mwaka mpya 2015. .
 Kama kawaida  Walkgard Transit Hotel kwa kila mwaka utuandalia kitu tofauti kabisa ikiwa ni pamoja na Muziki wa taratibu na vyakula vya aina mbalimbali, ukumbi ukiwa umepambwa vyema na Mtaalam Mama Matungwa na Waalikwa wakiwa Wamependeza kulingana na angalizo la kuvaa ama kutupia mavazi yanayo kwendana na rangi ya mwaka ambayo ni ORCHID(MIX YA PURPLE NA PINK

Taswira kiwanja cha The Walkgard Transit Hotel.




 Ndugu wa familia ya Kahwa kama walivyo kutwa na Camera yetu




 Mwanadada Asimwe akishow love na Bi Joyce.

 Mzee Matungwa pichani,Mkurugenzi The Walkgard Hotel.

 Ni mwendo wa burudani.



 Neno maridhawa kutoka BUKOBAWADAU BLOG tukiwa tunaukaribisha mwaka mpya 2015
Ni hivi li uweze kufanikiwa kwa kile unachofanya hakikisha unafanyia kazi mawazo uliyonayo kwa vitendo. Chukua hatua hii muhimu kwako ya kufanyia kazi ndoto zako na usiishie kuwaza tu na kuongea sana hiyo haitakusaidia katika maisha yako.
 Tekeleza na fanyia kazi ndoto zako kila siku hata kama ni kwa sehemu ndogo lakini utakuwa ndio umesogea kuelekea kuzifikia ndoto na malengo yako.
Princess  Ailen Lugaibura (kushoto) huyu ni mwana wa Mlangira Deo Lugaibura na Princess Nancy Nas Nafsa wa Visram wakikatiza katika Red Carpet ya mkesha wa mwaka mpya 2015
 Katika Red Carpet ni Kijana Samla D Othman .
 Credit photo Mdau Walter Rwey-Robert pichani kushoto, Salute kwako mzee!!
Hivi ndivyo Wadau Mjini Bukoba walivyohitimisha mwaka 2014 na kuanza rasmi Mwaka Mpya 2015

Next Post Previous Post
Bukobawadau