Bukobawadau

WAZIRI CHIZA AWASILI OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri  wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakisalimiana na Waziri  wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza  leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri  wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akipokea ua kutoka kwa mfanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Zubeda Ng'olongo kama ishara ya kumkaribisha ofisini hapo, leo Jijini Dar es Salaam,  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri  wa Nchi Mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Christopher Chiza akisalimiana na Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu leo Jijini Dar es Salaam, wakati alipo wasili ofisini hapo  ikiwa ni siku mbili baada ya kuteuliwa na kuapishwa  kushika wadhifa huo, awali Chiza alikuwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Next Post Previous Post
Bukobawadau