MSANII CHID BENZ AHUKUMIWA JELA
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Rashidi Abdallah
Makwaro Maarufu kama (Chid Benzi) amehukumiwa kifungo cha miaka mwili
jela au kulipa faini ya shingili laki tisa bada ya kupatikana na hatia
ya makosa matatu ikiwemo kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin yenye
thamani ya sh. 38,638, bangi ya sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo
kijiko na kigae.