HARUSI YA BW.JULIUS H. MUCHURUZA NA BI CHRISTINA K.MAGONGO YAFUNIKA NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA
harusi hii ilikua na umakini wa hali ya juu, kama unavyoona katika picha jukwaa la maharusi katikati ya ziwa victoria
Mr. and Mrs Julius Muchuruza katika nyuso za furaha
Mr. and Mrs Julius Muchuruza
Mr. and Mrs Julius Muchuruza
Kutoka kulia ni Bi hilda mdogo wa bwana harusi akiwa katika picha ya pamoja na maharusi
Kutoka kushoto ni Bi jovitha mpambe wa bi harusi. na mwanzo kabisa kulia ni Bw. Endruw Mganga mpambe wa bwana harusi
Bi harusi akiwa na mama mkwe Bi Rose Muchuruza
Kutoka kulia ni Bw Arnold Mutafungwa na Muhanuzi Kyazi na kulia kabisa ni Mr. Albert Muchuruza
Picha ya maharusi wakiwa na wazazi wa bi harusi
Bi Lilian Muchuruza katika picha ya pamoja na maharusi
Kwa mbali kabisa ni ndugu Johanes Bahati kushoto Ndg, Mwanuzi wakiwa katika jukwaa la maharusi
Maharusi na wapambe wao katika pozi
Maeneo ya fukwe za Space Motel, jukwaa maalum la maharusi likiwa ndani ya Ziwa Victoria hakika inapendeza
Matukio katika picha maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Muonekano wa jukwa la maharusi katikati ya ziwa victoria
Ni Bi.Agustina Muchuruzi katika pozi na Ndugu Elpidius
Kivutio kikubwa sana katika shughuli hii ni mapambo Ukumbini
Taswira ya Mapambo ya Ukumbini ni kazi nzuri ya Mkali katika tasnia Mama Matungwa
Muonekano wa jukwaa la maharusi , ama kwa hakika muonekano wa jukwaa hili ulipendezesha sana harusi hii
Sehemu ya wageni waalikwa wa sherehe hii
Benjamin Band katika Action
Mzee Pius Ngeze akitafakari jambo
Muonekano mzuri wenye kupendeza sehemu ya waalikwa Ukumbini
kwa mbali kabisa ni Mrs.Optat
Sehemu ya wageni waalikwa akiwemo Bi.Evangelina Kasilima (alievaa mawani)
Mr. Ramadhani Kambuga akisalimina na Mr & Mrs.Muchuruza
Mama wa Bwana harusi Bi.Greturuda kulia, Mr.yusto Muchuruza mzazi wa Bwana harusi, Bi rose Muchuruza, na Barnaba Muchuruza Baba mkubwa wa bwana harusi
Taswira ukumbini
Bwana harusi mara baada ya kukabidhiwa Mkuki kama zawadi ya kimila
Bi.Rose Muchuruza Mama mzazi wa Bwana harusi akitoa zawadi ya saa yenye picha ya maharusi
Mchakato mzima wa kukabidhi zawadi kwa maharusi unaendelea
Mrs Haji Yunusu kutoka Kampala Akitoa zawadi
Wadau mbalimbali wakiendelea kukabidhi zawadi zao kwa Mr & Mrs Julius Muchuruza
Muendelezo wamatukio ya zawadi
Askofu Mkuu Mstaafu na kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ( KKKT), Dk. Samson Mshemba akitoa neno.