KAMPUNI YA KUTANGAZA UTALII YA TRAVEL XENARJO YA UNELIGIJI YAKUBALI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P akiwa katika
picha ya pamoja na Meneja wa Masoko wa kampuni ya kutangaza utalii ya
Travel Xenarjo ya Ubeligiji Bi. Dana Maes baada ya kutembelea Banda la
kampuni hiyo inayoshiriki Maonesho ya Utalii ya Brussels. Kampuni hiyo
imekubali kutangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana Tanzania baada ya
Balozi Kamala kuiomba kampuni hiyo kufanya hivyo.