KAMPUNI YA UTALII YA HABARI TRAVEL YA UGANDA YATANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA BRUSSELS
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala P AKIWA katika
picha ya pamoja na Bwana Burt Munting Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya
Habari Travel ya Uganda inayoshiriki Maonesho ya Utalii ya Brussels.
Balozi Kamala ameishukuru kampuni hiyo kwa kutangaza vivutio vya utalii
vinavyopatikana Tanzania