KATIBU MKUU WA SEKRETARIETI YA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI AKUTANA NA BALOZI KAMALA
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP)
Alhaji Muhammad Mumuni (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi
wa Tanzania Ubeligiji Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus
Buberwa Kamala baada ya kumaliza mazungumzo naye ofisini kwake Brussels.
Alhaji Mumuni alifika ofisi za Ubalozi wa Tanzania kuishukuru Tanzania
kwa kumuunga mkono toka alipoteuliwa miaka miwili iliyopita hadi
anapomaliza kipindi chake cha miaka miwili ya kutumikia
Sekretarieti ya ACP