MAELFU WAMZIKA MA ANGELA KAFULAKAZI BUSHAIJA KIJIJINI BUGANGUZI FEB 14,2015
Maelfu ya watu wamehudhuria mazishi ya Bi Angela Kafulakazi Bushaija yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Buganguzi Muleba Jumamosi feb 14,2015
Picha ya Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaija wakati wa uhai wake.
Mama Chaltina mmoja wa majira akiwa tayari kwa ajili ya kushiriki Ibada ya mazishi
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi linatolewa ndani kwa ajili ya Ibada
Mwanzo wa Ibada ya misa ya mazishi
Wadau wakifuatilia Mahubiri wakati wa Misa ya mazishi
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Angela Kafulakazi Bushaija
Mdau Patrick Kahimukilwa akishiriki Ibada ya mazishi
Mzee Tibaigani pichani mmoja wa wajukuu wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi akiwa kafunga kitambaa chenye rangi nyekundu ckatika mkono wake wa kulia kuashiria siku ya wapendanao
Mama Muhazi katika picha na Omumbeija Ma Theresa Christopher Ngaiza
Wadau pichani wakifuatilia ibada ya mazishi
Ibada maalum ya mazishi ya mpendwa wetu Ma Angela Kafulakazi ikiendelea..
Bukobawadau tunaendelea kutoa pole kwa wote waliofikwa na msiba huu
Familia ya Mzee Galiatano wameguswa sana na msiba huu kama walivyoguswa familia ya marehemu
Bi Joyce na Mama Ashirafu pichani wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi
Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu
Wadau wakiwa katika sura za uzuni wakati wa ibada
Ni Uzuni na majonzi ndio iliyotawala moyoni mwa kila mtu kwa kumpoteza Mama etu, mlezi wetu, bibi yet mpendwa Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija
Uncle Salum na Kiongozi Elmest Muhazi
Pichani ni sehemu ya wafiwa.
Waumini wakiendelea na Ibada
Padre akiongoza Ibada ya Mazishi ya Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija
Sehemu ya wanakwaya wakati wa Ibada ya mazishi
Sehemu ya waombolezaji kama wanavyo onekana pichani
Mzee Lusseta akitoa heshima zake za mwisho
Alhaji Sadick Galiatano akitoa heshima zake za mwisho
Waombolezaji wakiendelea kupita w mbele ya jeneza lenye Mwili wa Marehemu kutoa heshima zao za mwisho
Baada ya kukamilika kwa zezi la kutoa heshima za mwisho linafuata neno kutoka katika familia
Mr Charles Bushaija akitoa neno kama kiongozi wa familia
Kufikia hapa BUKOBAWADAU tunakukumbusha kuwa Usisite kutembelea ukurasa wetu wa facebook kwa matukio ya picha zaidi ya 200 kwa kupitia LINK hii>>PICHA 200 MAZISHI YA MA ANGELA KAFULAKAZI
Muda mchache kabla ya kuelekea eneo la makaburi.
Wajukuu wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija
Kama kawaida anaonekana Uncle Salum (Mawingo) aka Organizer akiwajibika
Taswira eneo la Kaburi
Wakipeana angalizo kwa pamoja namna ya kubeba Jeneza
Jeneza likiwa linaingizwa kaburini tayari kwa mazishi
Padre akitoa mahubili wakati wa kuzika
“Miili yetu ni mavumbi na itarudi mavumbini” ndivyo Padre anavyo anza kuweka udongo kaburini
Baadhi ya watu waliohudhuria mazishi hayo
Mapadri wote wakitangulia kuweka udongo kwenye kaburi
Bwana Charles Bushaija mtoto mkubwa wa Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaiji akiweka udongo
Dr.Rwakyendela (katikati) na wadau mbalimbali wakiendelea kushiriki shughuli ya mazishi
Dada Hilda Bushaija akiweka Udongo kwenye kaburi la Marehemu Mama yake
Umati wa wananchi wa Kiijiji cha Buganguzi na maeneo mengine ya jirani wakiwa wamejitokeza kwa wingi kuuaga na kuuzika mwili wa Mpendwa wao Bi Angela Kafulakazi Bushaija
Kaka Elmest Muhazi na sehemu ya wadau wakiweka Udongo katika kaburi la Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaija.
Wanafamilia wakiendelea kuweka Udongo kaburini
Al haji Sadick Idrisa pichani kulia akiweka Udongo kwenye Kaburi la Mama yake mkubwa Marehemu Bi Angela Kafulakazi Bushaija.
Anaonekana Mdau Mrishid Idrisa
Kwa namna ya pekee jinsi ambavyo watu wengi wameguswa na msiba huu na kuonyesha upendo kwa marehemu Ma Angela Kafulakazi
Kaka Ermest Muhazi na wadau wengine wakiwa udongo katika kaburi
Shughuli ya kuweka Udongo ikiwa bado inaendelea
Shughuli ya kuweka mashada ya Maua katika kaburi la mpendwa wetu Marehemu Ma Angela Kafulakazi inaongozwa na Baba Paroko kwa niaba ya Mapadre wote walioshiriki kuendesha Ibada ya mazishi haya kisha zoezi likaendele kwa Watoto wa marehemu, wanafamilia ndugu jamaa na marafiki
Ma Bushuku pichani katikati ambae ndiye Mama Mzazi wa Marehemu Ma Angala Kafulakazi.
Wakati Mama Mzazi wa Marehemu akisaidiwa kuweka shada la maua kwenye kaburi.
Mtoto Mkubwa wa Marehemu Ndugu Charles akiwa na Mke wake katika kuweka shada la maua
Mr & Mrs Charles wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yao Mpendwa.
Anafuata Mr & Mrs John Peter Bushaija.
Mr & Mrs Tito wakiweka shada la maua katika kaburi la marehemu mama yao mpendwa
Hakika ni majonzi na simanzi ya hali ya juu
Mr & Mrs Kato wakiweka shada la Maua
Mr Kato akiwa na Mke wake Bi Hilda ambaye ni mtoto wa Kike wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi wakiweka shada la maua.
Mr & Mrs Vicent Bushaija.
Tukio la mashada ya maua likiwa linaendelea, Sasa ni zamu ya ndugu Venance ( Rajipa)
Ndugu wa Familia pichani ni Mr & Mrs Jamuhuri,Mr Dauda na Kaka yake Hussein kutoka Jijijini Dar es Salaam wakiwa tayari kuweka mashada yao ya maua
Kushoto Mr & Mrs Jamhuri na kuliani ndugu Hussein na Dauda
Wakati huo watu bado wanaiendelea kufika msibani hapo.
Hakika ni msiba mkubwa
Dada Asia pichani akiweka shada lake la maua.
Naye Mzee Alhaji Abubakar Galiatano
Dr .Rwakyendela na Mke wake mara baada ya kuweka shada la maua
Dada Mary Rwabizi akiweka shada la maua
Sister Gode kutoka Kagondo.
Mr.Boniface Mbimanya akiweka shada la maua kwa niaba ya wanaukoo wa Marehemu 'Abakombe'
Pichani kushoto anaonekana Bi Evelyn
Sehemu ya Wadau yupo Ndg (Mzungu) mwenye black na Mh. Onesmo Niyegira (katikati)
Watu wengi wakiwa katika uhuzi mkubwa
Ndugu Majid ( Sagada) mtu wa karibu sana na familia akiwa katika sintofahamu kufuatia msiba huu.
Wajukuu wa Marehemu kwa pamoja wakiongozwa na Angela pichani katikati.
Sehemu ya wajukuu wakiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la Bibi yao mpendwa
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiwa unaendelea kuchukua kasi
Mr & Mrs Fabian Kalikawe wakiweka shada la maua
Wawakilishi kutoka TIJA Dar es Salaam
Mwakilishi kutoka Radio Maria akiweka shada la Maua
Mr Audax Rusenene akiweka shada la maua
Marafiki wa marehemu pichani kulia yupo Ma Katalena
Kutoka Jijijni Dar es Salaam anaonekana Mr Alex Mtingazi akiwa amesafiri umbali wote kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Mama huyu
Wanaonekana Vijana wa kiroho na Uncle Badru Seleman Rajabu pichani kushoto
Wanafamilia pichani kutoka kushoto ni Mdau Sadath
Mzee Nurag na sehemu ya waombolezaji pichani
Anaitwa Angela Charles ni mjukuu mkubwa wa Marehemu Ma Angela Kafulakazi Bushaija katika picha ya kumbukumbu mbele ya Kaburi la Bibi yake
Katika picha wanaonekana Bi Ajila na Mama Khalid (Bi Tausi)
BUKOBAWADAU BOG TUNATUMIA FURSA HII KUKUJUZA kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241.
Mbele ya Camera yetu ni wadau wa Kijijini Buganguzi
Kwa mbali pichani yupo Uncle Khalid na Uncle Badru
Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi Mzee Alfred Tibaigana akitoa neno
Katika hali ya usikivu pichani ni Dada Methidia na Uncle Tito ambao ni watoto wa Marehemu
Kutoka Mjini Geita pichani ni Mwl. Salima Rajabu
Ndg Roderick Lutembeka ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee (Chadema),na tayari katangaza nia kugombea ubunge 2015 jimbo la Muleba kusini
Mdau Kafombo Sweetbart Rwabizi
Mtu na Mama yake pichani ni Majid Rajabu na Ma Zuliath Rajabu
Kwa matukio ya picha zaidi ya 200 katika Ukurasa wetu wa facebook,kumbuka kulike na kushare page husika ,kupitia hapa>PICHA 200 MAZISHI YA MA ANGELA KAFULAKAZI
Hapa ndipo alipopumzishwa kwenye nyumba yake ya mileleMarehemu Ma Angela Kafulakazi
Timu nzima ya Bukobawadau tunatoa pole sana kwa watoto wa Marehemu kuondokewa na mama mzazi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!!