SHUGHULI YA NDOA YA BW.BASHIR KABYEMELA (BADAE) NA BI RUKIA NADHIR RAJAB YAFANA !!
NAAAM ni Ijumaa nyingine Feb 13,2015 Bwana Bashir Kabyemela na Bi Rukia Nadhir Rajabu wanamshukuru Mungu ambaye leo amewawezesha kufunga ndoa yao hakika mambo yalikuwa byee katika tukio zima la ndoa hiyo iliyofungwa na Sheikh wa Mkoa wa Kagera,Sheikh Haruna Kichwabuta iliyoambatana na mnuso wa nguvu
Aisee hii ni moja ya swagar iliyotugusa kutoka kwa Mr & Mrs Bashir Kabyemela
Katika pozi la kwanza kabisa marabaada ya kufika Nyumbani
Bi harusi Rukia Bashir katika pozi moja Manta'shallah
Pichani ni Bi Asia Abdul
Mwanzo wa shughuli hii ikiwa ni majira ya saa 11 mara baada ya swala ya(Alasiri), msafara wa Bwana harusi ukiwa tayari kuelekea mtaa wa pili kwa ajili ya shughuli ya maali na ndoa
Picha ya kumbukumbu sehemu ya makutana mbele ya msikiti wa Bilele Mjini Bukoba
Ndugu na Marafiki wa karibu wa Bwana harusi muda mchache kabla ya kuanza Safari yao
Taswira mbalimbali maeneo ya mtaa wa Twiga/Uswahili Bilele
Dada wa Bwana Bashir Kabyela kama anavyo onekana katika picha
Katika hili na lile anaonekana Ndg Hamis pichani
Bwana Bashiru akiwa naDada zake katika utayari wa tukio la kutoa maali.
Ndugu wa familia ya Bwana Harusi wakiwa na Sanduku lenye zawadi maalum za Bi harusi
Kuelekea eneo la tukio Mtaa wa Twiga Bilele ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Mdau Gsmart George pichani kulia akipiga stori na wadau juu ya matukio ya hapa na pale
Anaingia Sheikh Haruna Kichwabuta Sheikh wa Mkoa wa Kagera.
Sheikh anasalimiana na Mzee Kabyemela
Yunusu Kambuka , Bwana Bashir, Ndugu Hafidh na Kijana Sadru katika picha ya pamoja
Upande wa wenyeji
Sehemu ya wadau wakiwa harusini
Wageni kutoka upande wa Bwana harusi.
Mrs Yunusu Kabyemela
Bi Latifa A.Kichwabuta.
Mzee Kabyemela anasalimiana na Sheikh Haruna Kichwabuta
Mzee Ismail akiwa ameambatana na Upande wa Bwana Harusi
Haji Adam Sued Kagasheki akimpokea kwa bashasha kubwa Haji Abbakari Galiatano
Kabla ya kuelekea ndani ,anajiunga Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta akiwa amejitanda ushungi
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta na Wifi yake Bi Asia Abdul wakiteta jambo
Mzazi wa Bwana Harusi anasimama kueleza lengo la uwepo wao katika familia ya pili.
Shughuli ya ndoa inafungishwa na Sheikh Haruna Kichwabuta
Utaratibu wa Nikaah ukiendelea
Wakati Bwana Bashir na Sheikh wakiwawameonozana na kwa Walii wa mke na Qabuul wakisubiria (itikio la kukubali) kutoka kwa Bibi harusi wetu Bi Rukia Nadhir
Na sasa ikawa zamu ya ... Bibi harusi akiangusha sahihi kwenye cheti cha ndoa
Bwana harusi akisaini cheti cha ndoa yake
Bwana harusi anapongezana na Mzazi wa Bi harusi Al haji Abuba Sued .
Furaha ikitawala.
Yupo mdau Optaty Henry na Bwana Haruna Goronga
Bwana Bashir na Kitonsa wake katika The pozi.
Bi Maua Ramadhani na Mama Rubby pichani
Kama inavyo jionyesha katika picha Bwana Harusi alikunywa maziwa kisha akamnywesha mkewe, mara nyingi kwenye ndoa za Kiislam tukio hili linachukua kasi..!
Hii tumeiona mara nyingi kwenye ndoa za Kiislam hatujui ni kutoka katika hadidhi au ni mambo ya kimila wadau tujuzeni juu ya tukio hili.
Naaam Sheikh Bashie 'Ebintu Majuta'
Masha'allah wamependeza Mr. na Mrs Bashir Kabyemela
Hongera sana Bwana Bashir na mkeo Bi Rukia (Rukihya)
Kushoto ni Bwana Hafidh Karugula (Nkurukumbi) swahiba wa Bwana Bashir Kabyemela.
Upande wa pili mambo ya ma
Wifi zake Bi Harusi ndo haoooo na huu ni mwanzo picha kwa ajili ya kumbukumbu
Dada wa Bwana harusi wakiendeleza furaha ya kumpata wifi yao Bi Rukia Nadhir
Shughuli imepamba moto, kila mdau anapata picha kwa ajili ya Bukobawadau hii nayo ni Changamoto!
Mama Kajali katika furaha na maharusi
Kama kawaida sehemu ya Wadau wakitathimini
Bwana Yunusu katika kuhakikisha hakilibiki kitu
Mnuso time.
Hekaheka za hapa na pale wakati wa Shughuli ya Ndoa.
Hivi ndivyo mambo yalivyo upande wa kina mama.
Bi Jamila Kikwemu na wifi yake
Bwana Yunusu Kabyemela kaka mdogo wa Bwana Harusi akipata .
Sheikh Haruna Kichwabuta na Al haji Abbakari Galiatano.
Aliamin Idrisa anampongeza bwana Bashir kwa kukamilisha ndoa yake
Kufikia hapa BUKOAWADAU BLOG inawatakia maisha mema yenye Upendo na Amani.
Mdau Abdulrazak katika picha na cousin Sis.
Hamsha hamsha nyumbani kwa Bwana Bashir Badae
Mwanzo mwisho ndugu na marafiki wa familia na Wasindikizaji wa Bibi Harusi
Katika kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa kabla ya kuingia ndani
Hakika ni shangwe nyumbani kwa Bwana Bashir Kabyemela
Mama kama anavyo onekana pichani
Hashim Kamgunda na Sheikh Haruna Kichwabuta wakibadilishana mawazo nyumbani kwa Bwana Bashir (badae)Kabyemela
Kama unavyomuona hapo Mama Farida akipata juisi ya ukwaju.
Taswira mbalimbali
Matukio ya picha mbalimbali Nyumbani kwa Bwana Bashir Kabyemela
Mtu na wifi yake katika picha ya kumbukumbu
Rukia wa Bashir katika pozi la nguvu
Baada ya mambo yote sasa wanajiachia kama mke na mmea
Hii ni kwa wale wanaopenda kuongea mambo mengi juu ya watu wengine
Katika kitu kinaitwa pozi hakika Bi Rukia anatosha!
Mwingi wa furaha baada ya kuyafikisha mambo hapa tulipo ni Bwana Hafidhu 'Nkurukumbi yeye nduye shahidi na best man wa bwana Bashir Kabyemela
Tukio wakati bwana Hafidhu akisaini cheti cha ndoa kama shahidi
Sehemu ya picha za matukio mbalimbali
Wanafamilia wakipata ukodak na Bi Rukia
Tips wakati Mzee aki akihimiza jambo muda mchache kabla ya shughuli ya ndoa
Mwamama akifurahi jambo katika harusi hiyo
Kwa matukio zaidi ya picha 350 tembelea ukurasa wetu wa Facebook kupitia link link>> hiiBukobawadau Entertainment Media
MWISHO Timu nzima ya Bukobawadau inawatakia maisha mema na marefu wanandoa hawa!