Bukobawadau

SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby.
Tukutane baadae tupunguze stress za wiki nzima kwa burudani iliyoenda shule na sehemu ya watu wastaarabu kama kawaida na mtonyo wetu ule ule getini.
Msanii wa Skylight Band Joniko akiendelea kutoa burudani huku vijana wa Skylight Band wakitimua vumbi jukwaani wakiongozwa na Sony Masamba ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
 
Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwa hisia kali mbele ya mashabiki wa Skylight Band(hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba uku akipewa support ya nguvu na Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge( wa kwanza kushoto), Sam Mapenzi (wa pili kutoka kulia) pamoja na John Music ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Sony Masamba akiendelea kuimba masebene ya nguvu huku akipewa support na Majembe ya Skylight Band yaliyojimwaga kwenye stage
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba kwa hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar
Waimbaji wa Skylight Band yakijimwaga na sebene jukwaani kwenye show za bendi hiyo zinazofanyika kila Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
Msanii wa Skylight Band John Music akitoa burudani ya nguvu ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
Idrisa Drums akifanya yake.
 
Msanii wa Skylight Band Joniko (wa kwanza kushoto) akiendelea kutoa burudani akisaidiwa na John Music(wa kwanza kulia) pamoja na Ashura Kitenge pamoja na Baby.
Ulifika muda wa sugua sugua mpaka utakate ........ilikuwa noma sanaaaaa!!!!!
DSC_0141
DSC_0148
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
Next Post Previous Post
Bukobawadau