WILAYANI MISSENYI SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA
Ndugu Julius Rugemalila Mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa akivalishwa skafu na Vijana wa Chipukizi wakati alipo kuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa ccm
Wilayani Missenyi
Viongozi mbalimbali wa Umoja wa Vijana wakisalimiana na Mgeni Rasmi katika sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa ccm
Wilayani Missenyi
Mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa ndugu Ndugu Julius Rugemalila akilakiwa na mamia ya wananchi wakati akiingia katika viwanja vya Ishozi kushiriki sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa ccm
Wilayani Wilayani Missenyi,Sherehe hizo ziliandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Missenyi na kufana sana.
Ndugu Julius Rugemalila akiongea na umati wa Wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa ccm
Wilayani Wilayani Missenyi.
Mwenyekiti wa UVCCM Misseyi, Revocatus Bubeye akimkabidhi Mgeni rasmi hati ya shukrani
Hati ya shukrani iliyokabidhiwa kwa Ndugu Julius Rugemalila
Risala ya Umoja wa Vijana wa CCM Wilayani Missenyi ikisomwa mbele ya Mgeni Rasmi
Risala inakabidhiwa kwa Mgeni Rasmi Ndugu Julius Rugemalila Mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa
Vikundi mbalimbali vya wanawake Wilayani Missenyi vikitoa zawadi
Sherehe za Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM Wilaya ya Missenyi zilipambwa na mechi ya mpira wamiguu kati ya timu za tarafa ya Missenyi na tarafa ya Kiziba
Mgeni Rasmi akikagua timu ya tarafa ya kiziba.
Mgeni Rasmi akikagua wachezaji wa tarafa ya Kiziba