AJALI MBAYA YATOKEA IRINGA 42 WAPOTEZA MAISHA
Mkuu wa Mkoa wa Iringa AMINA MASENZA amethibitisha Kuwa takribani watu
42 wamepoteza maisha na 23 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea leo
katika eneo la Changalawe mafinga mkoani humo
Foleni ya magari katika eneo la Changarawe baada ya ajali hiyo
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Barabarani mkoa wa Iringa, Salim Asas Abri (kulia) akiwa na viongozi wengine wakiwajulia hali manusura wa ajali hiyo.
Miongoni mwa manusura 22 wa ajali ya basi la Majinja lenye namba za usajili T438 CED wakiwa wamelazwa katika hospitali ya Mkoa Iringa kwa matibabu. Abiria 42 wamepoteza maisha katika ajali hiyo.

Mkuu
wa mkoa wa Iringa Amina Masenza (wa pili kulia) akiwa na Kamanda
wa Polisi mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi ,Mwenyekiti wa kamati ya
Usalama Barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas Abri (wapili kushoto) na
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita eneo la ajali