CFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi
wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts, Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya
uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto)
wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya mercedece benz GCL class
jijini arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.