Bukobawadau

HAFLA YA TANZANIA BLOGGERS NETWORK YAFANA NDANI YA SERENA HOTEL JIJINI DAR

Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini waliofanikisha hafla hiyo,iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.
Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini,Ankal Issa Michuzi akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar es salaam.
 Katika picha ya pamoja kwa baadhi ya Wanablog na wadhamini wa hafla hiyo.
 Mgeni Rasmi akikata ndafu ya TBN
 Matukio ya picha ukumbini kwa hisani ya othmanmichuzi
Next Post Previous Post
Bukobawadau