MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI YAENDELEA MJINI BUKOBA PANDE ZA KIROYERA BEACH
Matukio ya picha yaliyojiri Jumapili hii katika Viwanja vya fukweni Kiroyera katika Shindano la Nani Mkali
TESSO BOY Entertainment ambao ndio Waratibu na waandaaji wa Mashindano ya kusaka vipaji vya kucheza muziki ,kuimba na Uigizaji mkoani Kagera wanasema hii ni hatua ya mwanzo ya Usaili wa kusaka vipaji katika mashindano hayo yajulikanayo kama 'Nani Mkali' na zoezi hilo linaendelea kufanyika kwa kila siku za Jumapili katika Viwanja vya fukweni Kiroyero Mjini Bukoba
Watu wakishow love katika mashindano ya kusaka vipaji
Jukwaani ni waongozaji wa mashindano hayo ya kusaka Vipaji yajulikanayo kama 'Nani Mkali'
Jaji kiongozi wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki na Uigizaji akifanya yake.
Baadhi ya washiriki wakiwajibika jukwaani
Namna mambo yanavyo endelea kwenye shindano la kusaka vipaji
Kundi la Vijana wa Kashai wakionyesha uwezo jukwaani
Tesso Boy muandaaji wa mashindano haya akitoa angalizo
Wadau wakifuatilia kinachojiri.
Mgeni rasmi kwenye shindano hilo akizungumza na wadau waliojitokeza
Sehemu ya Umati wa watu wakati mashindano yakiendelea kufanyika
Meza ya Majaji wa Shindano la Kusaka la Vipaji vya Uigizaji,kuimba na kucheza.
Taswira mbalimbali kutoka viwanja vya fukwe za Kiroyera katika shindano lake la kusaka Vipaji kwa jumapili hii March 1,2015