MSIBA WA KOMBA MATUKIO YA KUAGA MWILI
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la
Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya
Nyasa Mkoani Ruvuma.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji
mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake
Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassa
Mwinyi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni
John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa na
Mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama
Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu
Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga
Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM,Marehemu Kapteni John
Komba likiwa kwenye viwanja vya Karimjee,jijini Dar es salaam,wakati
wa shughuli ya kuaga.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI NA EMMANUEL
MASSAKA.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassa
Mwinyi akitoa heshima za mwisho
kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga
Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa na
Mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama
Regina Lowassa wakitoa heshima
za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la
Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiifariji familia ya
marehemu.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania,Luteni Kanali Samuel Ndomba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John
Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi,Ofisi
ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista Mhagama akitoa
heshima za mwisho akifuatana na Naibu IGP,Abdulrahman
Kaniki.
Kingunge Ngombale–Mwiru akitoa heshima za
mwisho.
Kamanda Kova.
Baadhi wa Waheshimiwa Wabunge wakiifariji familia ya
Marehemu.
Mhe.
Ole Sendeka akibubujikwa na machozi kuondokewa na Mbunge
mwenzake.
Familia ya Marehemu.
Watoto wa Marehemu Kapteni John Komba wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Marehemu baba yao.
Mjane wa Marehemu,Kapteni John Komba,Mama Salome Komba akiaga
mwili wa mumewe
Khadija Kopa.
Umati wa viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye
viwanja vya Karimjee,jijini Dar es salaam wakati wa shughuli ya kuaga
mwili wa marehemu Kapteni John Komba.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa
Bunge,Mh. Jenista Mhagama akitoa salamu za Serikali wakati wa shughuli
ya kuaga mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la
Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,Mh. Saidi
Mtanda akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Kamati
yake.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari akitoa
salamu za rambi rambi kwa niaba ya kiongozi wa Kambi ya Upinzani
Bungeni.
Rais
Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Mh. Joshua
Nassari.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman
Kinana akitoa salamu za Chama.
Mh.
Muhongo akitoka kuaga mwili wa Kapteni Komba.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akisungumza jambo na
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana.kushoto ni Spika wa
Bunge,Mh. Anne Makinda.
Mama
Regina Lowassa akizungumza jambo na Mama Sophia
Kawawa.
Mh.
Mkapa akizungumza jambo na Mh. Anne Makinda.
Mjane wa Marehemu.
KUONA PICHA ZAIDI