NAPE AZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA MAAMUZI YA KAMATI KUU CCM
Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari juu ya maamuzi ya kamati kuu kwenye kikao cha kawaida kilichofanyika Dar es salaam ,tarehe 28 februari 2015.