TANGAZO KUTOKA BENKI YA WAKULIMA (KFCB): GARI LINAUZWA KWA NJIA YA TENDA
Uongozi
wa Benki ya Wakulima Kagera unapenda kuwatangazia wananchi wote wa Mkoa wa
Kagera kuwa gari aina ya TOYOTA Land Cruiser “PRADO” lenye namba za usajili
T743 AGW linauzwa kwa zabuni. Liko kwenye hali nzuri linatembea na atakayetaka
kulikagua afike Benki ya Wakulima Kagera.
Atakayeshinda
tenda atalipa 25% ya gharama yote siku ya tenda na kiasi kitakachosalia kilipwe
ndani ya siku kumi na nne.
Zabuni
zitafunguliwa tarehe 03.03.2015 Benki ya Wakulima (KFCB Ltd) saa tano asubuhi.
Tenda
zipelekwe Benki ya Wakulima mkabala na ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera.
Kwa
mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatazo:
1. 0789
769207 / 0755 012467
2. 0714
530508
3. 0784
389000

Nyote
mnakaribishwa