Bukobawadau

VIDEO:WIMBO WA WASANII WA KIZAZI KIPYA KUMUAGA JOHN KOMBA

Wasanii wa kizazi kipya waungana kuimba na kuifariji familia ya Mhe. John Komba pamoja na Watanzania kwa ujumla. Tazama VIDEO hapa chini     Tazama hapa chini Wimbo wa Faraja katika Kuuaga mwili | TBC
 Wimbo huu unawafariji wafiwa na Watanzania kwa ujumla katika kipindi hiki cha msiba wa ailyekuwa mbunge wa Mbinga Mhe. John Komba
Next Post Previous Post
Bukobawadau