BALOZI KAMALA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KONGAMANO LA KIMAITAIFA LA BIASHARA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Laxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr.
Diodorus Buberwa Kamala (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi Kutoka Nchi Mbamlimbali Duniani Baada ya Ufunguzi Rasmi wa
Kongamano la Biashara la Kimataifa linalofanyika Genval Ubeligiji.
Makampuni zaidi ya 500 yakiwemo hamsini kutoka Tanzania yanashiriki
Kongamano hilo. Makampuni hapo yanatoka nchi zinazozungumza kifaransa.
Tanzania ni nchi pekee inayozungumza kingereza iliyokaribishwa
kushiriki.
Kesho, Balozi Kamala atawasilisha mada ya kubainisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania.
Kesho, Balozi Kamala atawasilisha mada ya kubainisha fursa za uwekezaji na biashara zinazopatikana Tanzania.