Bukobawadau

"NITAKUPWELEPWETA SHOO'' KUFANYIKA CLUB LINAS JUMATATU YA PASAKA APRIL 6,2015


BENDI ya muziki wa kizazi kipya ya Yamoto Band ambayo ndo habari ya Mjini ikiongozwa na Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki, Itafanya Live show ndani ya ukumbi wa Linas Night Club Siku ya jumatatu ya pasaka ya pili tarehe 6 kuanzia majira ya saa 3 Usiku hii ni fursa nyingine kwa wakazi wa Bk kupata burudani kutoka kwa Vijana hawa kwa hisani kubwa ya SHEMEJI INVESTMENT Wale WAKALI wa kuandaa matamasha ya burudani!


Kiingilio ni (elfu kumi tu) na Tsh 15000 Viti maalum
Next Post Previous Post
Bukobawadau