Bukobawadau

TAZAMA VIDEO MAKAMUZI YA YAMATO BAND NDANI YA LINAS NIGHT CLUB APR 6,2015

Taswira katika picha yaliyojiri Usiku wa Pasaka ya pili Apr 6,2015
TAZAMA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI 

 Hivi ndivyo 'Yamoto Band' Vijana wa wenye sauti tamu na Vipaji vya hali ya juu walivyo acha gumzo ndani ya Mji wa Bukoba kwa makamuzi ya show ya hatari iliyopigwa live katika Ukumbi wa Linas Night Club.
Muhimu usisahau kujiunga nasi kwa kulike ukurasa wetu wa facebook kwa kubofya /click neno hili>>BUKOBAWADAU MEDIA kwa matukio ya picha 200 zaidi 

Next Post Previous Post
Bukobawadau