WAZIRI CHIZA AKUTANA NA KAMPUNI YA UJENZI MRADI WA KITUO CHA KUFUA UMEME KINYEREZI III
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Eng. Christopher Chiza (Mb),
(katikati) akiwa na ujumbe wa kampuni ya Shangai Electic Power ya nchini China
inayokusudia kujenga Kituo cha kufua umeme Kinyerezi III, walipokutana ofisini
kwake kuzungumza masuala ya uwekezaji katika mradi huo, tarehe 17 Aprili 2015,
(kushoto) ni Makamu wa Rais wa kampuni hiyo Bw. Guo Baohong.