YEAAH!! NI BONGE LA BIRTHDAY PARTY YA MR ALLAN MUGISHA "OMULUNJI ALLAN"!!
Hii ilikuwa siku ya jumamosi pale Kolping Hotel zamani WALKGARD
Hotel,hakika Jamaa alishusha bonge la Party iliyo hudhuriwa na watu
mbalimbali,....'Omukulu Allan Mugisha nga Akuza
Amazaalibwa' ndivyo lilivyo someka gazeti moja la kila siku nchini
Uganda 'Bukedde' kwa namna sherehe hii ilivyokuwa ya nguvu!
Anaonekana akiwa amechangamka Birthday boy Mr Allan Mgisha,Mwenyezi Mungu azidi kumlinda pichani
Kwenye sherehe hiyo, watu walikula na kunywa vya kutosha na Keki kadhaa zilikatwa, pichani ni Kiongozi wa 100/100 Group ule umoja wa wadau wa kadhaa mjini Bukoba chini ya kiongozi wao Mr Oscar kama anavyo onekana akilishwa kipande cha keki.
Kwa heshima kamati ya maandalizi inamchagua mwanadada mmoja wa marafiki wa Mr. Allan ili awe msimamizi
Mr.Allan anamlisha kipande cha keki msimamizi wake ama mpambe wa siku ya kuzaliwa kwake.
Anamlisha keki mbishi mmoja kama inavyo onekana pichani
Kwa niaba ya wageni waalikwa wote anapewa nafasi ya kulishwa keki Uncle Salum Organizer.
Macho ya wageni waalikwa yakifuatilia jambo.
Baadhi ya watu wenye majina,mastaa mjini kwetu walio-show love katika birthday hiyo.
Mdau pichani kama anavyo onekana katika hili na lile
Muendeleza wa matukio ya picha ukumbini
Kama kawaida wakati sherehe ikiendelea,maswala ya ku update kwenye mitandao yanahusika
Kuhusu manywaaa jamaa alijipanga vizuri tu!
Muendenndeleo
Meza ya kiongozo Mash Jon Do pesa pichani kushoto.
Wakati Waalikwa wakiwa wanapata burudani ,anaonekana Mr. Paul akizungukia meza moja baada ya nyingine kuhakikisha hakiaribiki kitu katika shughuli ya rafiki yake Mr. Allan.
Msanii Kamdingi akishusha burudani ni Msanii anayefanya vizuri kwa nyimbo za asili ya Kihaya kwa mtindo wa muziki wa Bongo Fleva
Mlangira Deo Lugaibula na Mzee Salum Mawingo (ORGANIZER) Al-Saqry wakati wa kupata mulo
Waganda wanasema; 'Abemikwaano nga beewamu baweweeza Obulago'!!hii ni kutokana na Watu walivyo kula na kunywa vya kutoka katika hafla hii ya kuzaliwa kwake Mr. Allan.
Bi Jenniveva pichani.
Wageni waalikwa wakipata Chakula
Hakika Ilikuwa ni bonge la Partyt,Theme ilikuwa ni kula, kunywa na Kadansee namaanisha burudani
Meza ya Birthday Boy wakipata Msosi.
Meza ya Bwana Ray Chelsea na Bi Nancy
Mambo sawia ya Mc Jerry pichani kushoto.
Waalikwa wakipata huduma safi ya Chakula
Sehemu ya waalikwa wakiendelea kupata msosi katika shughuli hii yenye ubora kutokana na maandalizi mazuri ,mpangilio safi
Muonekano wa kitu 'Nkoko'
'Omlunji'Allan Mugisha katikati akipata msosi na Bi Nancie Dr. na Kiongozi Mr Osacar.
Meza ya Mzee Adam Sued na Mke wake wakifuatilia kinachojili ukumbini
Mrs Abubar Sued Kagasheki ( Mama Chichi) akipata msosi.
Hakika watu maalum kutoka pande tofauti wameweza kushiriki katika hafla hii.
Meza ya wadau katika hili na lile.
Sehemu ya waalikwa.
Hakika watu ni wengi katika muonekano tofauti,Kwa wenzetu wa Kyaka na Kyotela utawasikia wakisema; ' Abaantu baabadde bangi nyo ddala'!
Mdau Linus Kashaija katika kumpongeza Allan.
Bi Maua (kushoto), Bi Chui na London na Bi Rehema Ridhiwani wakati wa kutoa zawadi
Birthday Boy akipokea mkono wa pongezi kutoka kwa waalikwa
Pongezi zikiendelea kwa Birthday Boy Mr. Allan Mugisha
Hao ni majirani zake kwa Stage.
Mc Jerry akiendelea kuwajibika
Mr Rackson Kahabuka katika utaratibu wa kumpongeza Mshikaji wake Mr. Allan Mugisha
Mpambanaji Paul Manyama akifanya Ukodak kwa ajili ya kumbukumbu
Furaha ikiendelea kutawala wakati wa kumpongeza Mr. Allan katika hafla ya Hepi Besdei ya kuzaliwa kwake iliyofanyika usiku wa Jumamosi katika hotel ya Kolping eneo la 'Swimming ya Pool'
Ndugu Seki na Mr. Tegga.
Pichani ni Mr. Dick akifuatiwa na Mr. Alex
Pongezi kwa Mr. Allan kutoka kwa jirani yake
Majira wa Mr. Allan wakipata picha ya kumbukumbu mara baada ya kutoa zawadi yao na kumpongeza.
Akitoa neno la kumpongeza kwa niaba ya majirani wa Mr. Allan
Bwana Eugen Kabendera rafiki wa karibu wa Mr Allan.
Neno la ziada kutoka kwa Mr.Paul kwa niaba ya Admin wa 100/100 Group .
Wanajiita 100/100 Group kama wanavyo onekana katika picha ya pamoja
Wana 100/100 wakati wa kukabidhi zawadi yao kwa rafiki yao mpendwa Allan Mugisha.
Mtiririko mzima wa matukio haya kupitia BUKOBAWADAU tunachoweza kusema huenda hii ikawa ikawa ni birthday ya kihistoria tunapata kushuhudia.
Mkurugenzi Samola Lyakurwa akimpongeza Birthday Boy Mr Allan Mugisha
Ni mwendo wa Kadansee....!
Shangwe za wadau katika kusherekea siku muhimu ya kuzaliwa kwake Mr. Allan
Kijana Soma B na Bibie Rehema wakisasambua kipwani pwani!
Mdogo mdogo katika furaha ya kumpongeza Mr. Allan
Matukio ya wadau kushow love na Birthday Boy Mr. Allan Mugisha.
Katika kushow love na Birthday Boy
Kinyamwezii ! ndivyo wanavyo onekana wadau pichani katika kushow love na Camera yetu
Taswira mbalimbali ukumbini
Naaam! ndivyo anavyo onekana Mr Rackson Kahabuka baada ya mambo kunoga.
Upande ya Magomba/Burudani alijipanga vyema Dj Sley wa 88.5 Kasibante Fm Radio BKB
Mambo yakiwa yanaendelea kupendeza.
Mwanadada Dyner Van Jimmy(Dyana) na Nancy Nas (Nafsa) ni sehemu ya waalikwa.
Hii ni moja ya Sherehe kali yenye SUPRISE mwanzo mwisho ,watu wamekua na furaha, watu wame kula na kunywa mpaka basiiiiiiii!!
Safi ni Taswira yakuvutia wakati waalikwa wakitoa pongezi kwa Mr. Allan
Tafadhari kumbuka ku'like' ukurasa wetu wa facebook kwa habari na matukio ya papo hapo na kupata picha zaidi za hafla hii kupitia link hii>BUKOBAWADAU MEDIA
Wakishow love mbele ya Camera yetu
Kwa matukio ya NYINGINE zaidi ya 200 jiunge nasi hapa>BUKOBAWADAU MEDIA