BREAKING NEWS:RAIS NKURUNZINZA APINDULIWA
Ripoti kutoka Bujumbura zinasema kuwa Kamanda mmoja wa Kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama Rais wa Burundi
Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari Mjini Bujumbura kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpito