Bukobawadau

DEC 2014 :THE HOTTEST ON RECORD

Sehemu ya Matukio yanayo endelea kuwa historia isiyofutika akilini mwetu ,Ni shangwe za Walangira Dec,2014  ambazo mpaka sasa ni gumzo mtaani ,tunaweza kusema ni matokeo ya kuporomoka kwa thamani ya shillingi
PITIA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI  MAMBO YA YANAVYOKUWA
           Hii  ni katika Show ya Malaika Band iliyofanyika ndani ya Linas Dec 26,2014
Next Post Previous Post
Bukobawadau