HABARI PICHA MKUTANO WA MH. EDWARD LOWASSA AKITANGAZA NIA JIJINI ARUSHA LEO
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa
zamani Mh. Edward Lowassa ametangaza rasmi nia ya kuwania urais wa
Tanzania kupitia chama cha mapinduzi mbele ya umati wa watu waliofurika
uwanja wa Sheik Amri Abeid jijini Arusha na kutaja vipaumbele vyake kuwa
ni elimu,kupambana na umaskini,kulinda rasilimali za nchi na
kuwaunganisha watanzania .
Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mh.Lowassa ambaye aliingia.uwanjani akisindikizwa na msafara wa
pikipiki na magari pia amesema akipewa fursa atahakikisha anadumisha
muungano.
Amesema ataweka misingi imara ya kuharakisha maendeleo mazuri kwa
wananchi na kuwawezesha vijana kuondoa tabaka la walionacho
nawasionacho.
Awali viongozi wa dini na siasa akiwemo Kkingunge Ngombale Mmwiru
wameseama Lowassa ana sifa za kiongozi anayefaa kuliongoza taifa kwa
sasa.
Sherehe hizo zilizohudhuriwa na maelfu ya wananchi kutoka kona
mblimbli nchini burudani kubwa ilikuwa ni Helkopta ya Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Geita Bw. Joseph Msukuma.
Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, kumsikiliza Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia).Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nyomi ya watu waliofurika uwanja wa Sheik Amri Abeid jijini Arusha
Taswira mbalimbali katika picha
Dua kutoka kwa Sheikh
Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania
Pichani kulia kabisa anaonekana Mh.Nazir Kalamage
Watu katika hali ya usikivuDua kutoka kwa Sheikh
Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania
Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, kumsikiliza Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia).
Umati mkubwa wa watu
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo.
Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo.
Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akihutubia katika mkutano wa hadhawa wa kutangaza nia yake hiyo, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo.
Kkingunge Ngombale Mmwiru
Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mkewe Mama Regina Lowassa wakati wa mkutano uliofanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
Mama Regina Lowassa pichani
Mh. Edward Lowassa akipongezwa na baadhi ya Wabunge waliohudhulia mkutano huo, baada hotuba yake. Picha zote kwa hisani ya Othman Michuzi

CREDIT PHOTO:Othman Michuzi