KIJANA DAUDI MRINDOKO MGOMBEA MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI KILIMANJARO
Kijana Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi mwenye umri wa miaka 30
Kijana Daudi Mrindoko akipata baraka za mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini Mama Minde.
Kijana Daudi Mrindoko akipata baraka za mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini Mama Minde.
Wakati tunahesabu miezi kuelekea uchaguzi mkuu 2015,mengi ya
kufurahisha yanahibuka kama vile wananchi wa jimbo la Moshi Mjini
kumshawishi mgombea waokijana Daudi Babu Mrindoko achukue fomu ya
kugombea ubunge wa jimbo hilo 2015,na kumiminia sifa zote zinazofaa
kijana huyo wa mjini Moshi achaguliwe.wakazi hao wa jimbo la Moshi Mjini
kwa sasa wanadai kuwa kijana wao waliomshawishi achukue fomu ndiye
Mgombea kijana mwenye umri mdogo kuliko wengine wote wenye nia ya
kugombea ubunge mkoani Kilimanjaro,kwani Daudi Mrindoko ana umri wa
miaka 30 tu, na hakuna wa mgombea yoyote hadi sasa mwenye umri chini ya
miaka 30 mkoani Kilimanjaro. Wenyewe wakazi wa jimbo la Moshi mjini
wanadai kuwa kijana huyo mdogo ndio pendekezo na tumaini lao la uchaguzi
2015,na wanahidi kumpa kila wawezalo bila kujali atagombea kwa kupitia
tiketi ya chama gani,wanachojali uwezo wake wa kuwatumikia na
kuwawakilisha bungeni.
Kijana Daudi Babu Mrindoko(30) ni mkazi
wa Moshi mjini,Mjumbe wa UVCCM mkoa Kilimanjaro,pia mwenyekiti wa
tahasisi ya Umoja wa wazalendo Tanzania(UWATA) inasemekena ni kijana
mwenye mvuto sana kwa jamii kutokana na ukaribu huo wananchi wa jimbo la
Moshi mjini uwambii chochote juu ya kijana wao huyo mwenye umri wa
miaka 30 ambaye wamempa majina mengi
kama a.k.a Obama wa Moshi, na kauli mbiu ya ni "Moshi Panafukuta Moto 2015' Pendekezo hilo la wana Moshi mjini pia linapatikana at www.facebook.com/mrindoko. mwidadi