MKURENZI WA UTAWALA WA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI
Mkurugenzi wa Utawala wa Utumishi wa Umma Mhe. Nyakimura Muhoji (wa tatu
kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Ubalozi wa
Tanzania Ubeligiji baada ya kumaliza kikao nao Brussels Ubeligiji. Wa
pili kutoka kushoto Ni Bwana Festo Kipate Afisa Mhandamizi kutoka Wizara
ya Fedha na wa tatu kutoka kushoto ni Balozi Dr. Diodorus Buberwa
Kamala, Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya.