MWIGULU NCHEMBA ATANGAZA NIA MJINI DODOMA
Naibu waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wana Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakao fanyika nchini kote baade mwaka huu.Mwana siasa hiyo ambaye kwa siku za hivi karibuni amejizolea sifa kutokana na kauli zake amesema kipaumbele chake ni kujenga uchumi na kuwafanya watabnzania kumiliki uchumi wao.
Mwigulu Nchemba 'Nawashukuru wote mliotenga Muda wenu kwaajili ya Kuangalia/Kusikiliza nilichonuia kuwafanyia Watanzania kuelekea Miaka 50 mingine ya Taifa letu' Naombeni Muniamini,Mnipeushirikiano,Nitawavusha Salama kueleka Kipato cha kati.
Naibu waziri wa Fedha,
Mwigulu Lameck Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi
ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya wana Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kumteua kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakao fanyika nchini kote
baade mwaka huu. Anaandika Mwandishi wa Father Kidevu Blog, Dodoma.
Mwana siasa hiyo ambaye kwa siku za hivi karibuni amejizolea sifa
kutokana na kauli zake amesema kipaumbele chake ni kujenga uchumi na
kuwafanya watabnzania kumiliki uchumi wao.
Nchemba akitangaza nia hiyo leo katika Chuo cha Maendeleo ya Mipango
mjini Dodoma akisindikizwa na familia yake ya mke na watoto watatu
amesema pia kuwa lengo la kutangazia Dodoma ni mwanzo tu wa harakati za
kuhamia Dodoma kwa serikali yake pindi akiingia madarakani.
Aidha Nchemba alisema mtu anayetaka kuongoza watanzania ni lazima
atambue ajenda za Watanzania, ayatambue mazingira ya Watanzania na kama
hajabeba ajenda ya Watanzania, basi uongozi wake hautakuwa wa wananchi.
Soma zaidi hapa >>: http://ahmadamwariko.blogspot.com/2015/05/mwigulu-nchemba-aunguruma.html
Copyright © Jicho La Habari
Nchemba akitangaza nia hiyo leo katika Chuo cha Maendeleo ya Mipango
mjini Dodoma akisindikizwa na familia yake ya mke na watoto watatu
amesema pia kuwa lengo la kutangazia Dodoma ni mwanzo tu wa harakati za
kuhamia Dodoma kwa serikali yake pindi akiingia madarakani. Aidha
Nchemba alisema mtu anayetaka kuongoza watanzania ni lazima atambue
ajenda za Watanzania, ayatambue mazingira ya Watanzania na kama hajabeba
ajenda ya Watanzania, basi uongozi wake hautakuwa wa wananchi.Soma zaidi hapa >>: http://ahmadamwariko.blogspot.com/2015/05/mwigulu-nchemba-aunguruma.html