TANGAZO KUHUSU SAFARI YA HIJJA
HOTLINE +255 754 823 461 na +255 784 270 290
TANGAZO: TCDO inawatangazia wote wenye nia
na uwezo waendelee kujiandikisha na kulipia kwaajili ya Ibada ya HIJA. Kwa
watakaolipia mapema watapata punguzo maalumu
watakaolipa
kwa kuchelewa watalipa kiasi cha 4,575$.
Pia unatakiwa kulipa kidogokidogo ili uingizwe katika orodha ya matandao wa
mwaka huu kabla haujafungwa, kiasi kitakachobaki kitalipwa kabla ya safari
SAFARI: Tunatarajia kusafiri tarehe 14/09/2015 Sawa na mwezi Mosi Dhulhija 1436H.
lipia
kupitia TANZANIA CHARITABLE AND DEVELOPMENT ORGANIZATION (TCDO), Benki ya
Kiislamu ya AMANA Akaunti namba 001120014800001 kwa pesa za kitanzania na 001120014800002 pesa za kigeni.
Pia Benki ya CRDB tawi lolote Tanzania akaunti namba 0150270179100
kwa pesa za Tanzania na Akaunti na. 0250270179100 kwa pesa za kigeni
MAWASILIANO:
- D’salaam, Kinondoni - Swed Twaibu Swed
+255 754 823 461/ +255 784 270 290
- Saudi Arabia, Makkah na Jeddah +966 557028927
- Dar es Salaam, Imamu Mkuu Msikiti wa Kichangani Magomeni
Sheikh Walid
Alhadi Omari.+255 715 190 068
- D’salaam, Kinondoni.
Alhaji Dr. Ahmed L.
A. Twaha. +255 754 524 525
- D’salaam, Msikiti wa Makuti Magomeni,
Alhaji Sheikh
Mahmoud Abdallah Waziri – +255 787 261
860
- D’salaam Kigamboni
Alhaj Sheikh Omar
Hassan Mohamed Msenga. + 255 716 474 743
- D`Salaamu
Alhaji
Ahmed Mwinyimkuu (Kizigo) +255 713 362 043
- Kagera, Kashai
Alhaji
Sheikh Idrisa Eliasi Shaabani +255 754 407 692
- D’salaam, Ilala
Hajat Ustaadhat
Salama Adam + 255 718 978 703