TASWIRA MBALIMBALI MJI BUKOBA MAY,2015
Katika hali ya upole wanaonekana Waendesha bodaboda mjini Bukoba wakiwa kijiweni kusubiri wateja
Barabara ya Rumumba Uswahili ,kwa jina maarufu mtaa wa Balimi.
Picha iliyochukuliwa kwa ustadi inaonyesha vilima vya kashura vilivyozunguka Mji wa Bukoba usawa wa jukwaa la Uwanja wa Uhuru Platform maeneo ya Bilele Bukoba
Mtaa wa Rumumba Uswahili ,kwa jina maarufu mtaa wa Balimi, uso kwa uso na legendary Abdulnas pichani.
Mdau Al Amini Abdul akitumia simu yake kupata picha.
Kwa mbali anaonekana Mdau Quraish Patel.
Mr. Jawadu kama alivyokutwa na Camera yetu
Tunakutana na wanamama pichani wakiwa wamependeza ,wengine wakiwa katika mavazi ya Sare.
Anaitwa Siraji Idrisa ' aka Mwenyekiti kupata picha yake ni sehemu ya bahati.
Kijiwe maarufu 'Kwa Capenter' Bilele,wadau wengi ukutana kila jioni kwa ajili ya kubadirisha mawazo.
Hekaheka za hapa na pale ,barabara ya Kashozi Mjini Bukoba.
Harakati za wananchi zikiendelea katika moja ya barabara iliyo busy Mjini Bukoba, (Kashozi road)
Pichani ni kushoto ni Dr. Baruti akiteta na Mr. Sued Kagasheki.
Taswira mitaa ya Miembeni Nyumba za Kotazi zinazomilikiwa na halmashauri ya Mji Bukoba
Kiwanja cha wazi cha Manispaa Bukoba kilichopo mtaa wa Miembeni kama inavyo onekana pamegeuzwa eneo la kuoshea magari.
Matukio ya picha mbalimbali mjini Bukoba, Muhimu kwako mdau msomaji tunaomba support yako kwa kulike page yetu ya facebook kupitia neno hili>>Bukobawadau Entertainment Media