Bukobawadau

Kamati za maafa za takiwa kutimiza wajibu wao wa menejimenti ya maafa

Mratibu Maafa, Idara ya uratibu maafa,  Ofisi ya Waziri Mkuu, Benedict Kisaka akitoa mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015.
 Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati) akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.
 Mwakilishi wa  Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi mkoani Kagera wakati wa  mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015.
 Baadhi ya waratibu Maafa mkoani Kagera wakifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa waratibu hao tarehe 24 Juni, 2015, mafunzo hayo yameratibiwa na Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu.
 Mratibu maafa wilayani Muleba Mkoani Kagera, Ruth Ishabakaki akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa wilayani Muleba wakati wa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, mafunzo hayo yameratibiwa na Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu.
 Katika picha ya pamoja.
Next Post Previous Post
Bukobawadau