Bukobawadau

MOTO WAWAKA NDANI YA LINDI WAKATI MHESHIMIWA BERNARD MEMBE AKITANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Wananchi wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe wakati akiwahitubia wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.
Ujumbe mwanana kutoka kwa wananchi wa Lindi.
Wakazi wa Lindi wakimsikiza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe wakati akiwahitubia wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba.
Mwanasiasa mkongwe nchini, Sir. George Kahama akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa tatu kushoto waliokaa), alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana. Wengeni (kutoka kushoto) ni Katibu wa CCM Mkoa wa Lindi, Adelina Gefi na Mke wa Waziri Membe, mama Dorcas Membe.
Wananchi wakifuatilia matangazo yaliyokuwa yakirushwa moja kwa moja.
Msanii Peter Msechu akiimba mara baada ya kumaliza kutangaza nia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe.
Msanii Steve Nyerere akitoa hotuba.
Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Saidi Mtanda akiendelea kuwatambulisha wasanii waliofika kumsikiliza Mheshimiwa Bernard Membe wakati akitangaza Nia ya kugombea urais.
Wasanii wakiendelea kujitambulisha mbele ya wananchi.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwashukuru wananchi waliofika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwa na mkewe Dorcas wakiwapungua wananchi wakati wakiondoka katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati alipotangaza nia ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Mwezi Oktoba. 
Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Saidi Mtanda akiwashukuru wananchi kwa kufika kumsikiliza mheshimiwa Mheshimiwa Bernard Membe wakati akitangaza Nia ya kugombea urais.
Next Post Previous Post
Bukobawadau