Bukobawadau

SHEREHE YA UZINDUZI YA MRADI WA MBUZI ILIYOANDALIWA NA COSAD TANZANIA KWA KUSHIRIKIANA NA BUKOBA ROTARY CLUB PAMOJA NA WADAU KUTOKA MAREKANI (GCN -FAIR INTERNATIONAL VOLUNTEERS)

 Sehemu ya wadau kutoka nchini Marekani.
 Sehemu ya Wanachama wa Bukoba Rotary Club
 Bw.Walter Rwey-Robert wa Bukoba Rotary Club
Dr.Jessica R. Baitani  na mme wake Mr Smart Baitani wakitolea jambo ufafanuzi
 Mh. John Mogella Mkuu wa Mkoa wa Kagera akisalimiana na Mzee  Rutabingwa.
Bi Leesa Leclaire kiongozi wa Wadau wa GCN kutoka nchini Marekani
 Rais wa COSAD Tanzani Ndg Smart Baitani akiongelea historia ya Mradi wa mbuzi na manufaa yake katika jamii kwa upana na faida yake kiuchumi.


Burudani kutoka  Kikundi cha Cosad .
 Matukio ya burudani kwa pamoja.
INAENDELEA...........
Next Post Previous Post
Bukobawadau