Bukobawadau

SIMANZI MJINI BUKOBA MWILI WA MAREHEMU SAMUEL NTAMBARA LUANGISA UKIAGWA LEO !!

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Samuel Ntabara Luangisa
 Ni simanzi kubwa Mjini Bukoba wakati Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Mzee Samuel Ntabara Luangisa likizungushwa mitaa mbalimbali kama ishara ya  heshima ya mwisho kwa wananchi aliowatumikia kwa kipindi kirefu
Pichani msafara mkubwa wa magari na boda boda ukipita kuelekea Kanisa la Kilutheri Kashura kwa ajili ya misa takatifu ya kumuombea ambapo mazishi yake yatafanyika Kesho Jumatano May 3,2015.
 Msafara mkubwa wa magari barabara ya Jamhuri kuelekea barabara ya Samuel Luangisa.
 Msafara ukipita nje yakwenye Ofisi za CCM Mkoa
 Mtoto Mkubwa wa Marehemu Mzee Samuel Ntambara Luangisa,pichani Mr Uhuru Samuel Luangisa
Bi Jeanifer Murungi akijaribu kukabiliana na  huzuni mkubwa kufuatia kifo cha Baba yake Mpendwa
Mwenye picha ni Mjukuu wa Marehemu akifuatiwa na Dada Farida Kassim na mwisho kulia ni  Dada Eunice  Samuel Ntambara Luangisa
Pichani kushoto ni Ndugu Mao Samuel Ntambara Luangisa akiwa na 'Le Mutuz' William Malecela aliyefika Mjini hapa kuwafariji wafiwa.
Sehemu ya waombolezaji mara baada ya kuwasili Viwanja vya Kanisa la Kashura.
 Nje ya lango la kanisa pichani wa pili kutoka kulia ni Bi Rose Samuel Luangisa akifuatilia jambo.
Dada Teddy Mboto na Mr Al Amin Idrisa wakitoa heshima  kwenye jeneza lenye mwili wa Marehemu Samuel Ntambara Luangisa
 Bi Getruda  pichani Mama Mjane wa Marehemu Samuel Ntambara Luangisa.
 Kushoto Bi Lahel Barongo ,Mdogo wa Marehemu Mzee Luangisa katika picha na mwanae Bi Paschazia Barongo muda mchache kabla ya kuingia kanisani .
 Bi Jalia Mayanja pichani
 Bi Anneth Kibogoyo pichani
Ndani ya Kanisa muda mchache kabla ya Ibada
Taswira ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kashura Mjini Bukoba
Sehemu ya watu wakiwa tayari kushiriki Ibada maalumu ya kumuombea Marehemu Mzee Samuel Ntambara Luangisa aliyekuwa muumini mwaminifu wa kanisa lake la KKT Dayosisi ya Kashura Mjini Bukoba
Mr. Mpoma katika hali ya Sintofahamu kufuatia msiba huu wa rafiki yake mpendwa..!
 Mr Kwame Samuel Ntambara Luangisa kushoto pichani na sehemu ya waombolezaji
 Mr. Matunda mbele ya Camera yetu
 Matukio ya picha eneo la Kashura
Muendelezo wa matukio ya picha.
Taswira mbalimbali kutoka kanisa la Kashura Mjini Bukoba jioni ya leo June 2, 2015

Mzee Lutabingwaakitetajambo na Bi Rose Samuel Luangisa
 Matukio mengine zaidi ya picha kwa muhimu kujiunga nasi kwa ku like ukurasa wetu wa facebook kupitia link hii >>BUKOBAWADAU MEDIA
 Pichai anaonekana Mr Optay Folo na Mr. Pajero
BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa pole kwa wafiwa wote.
 La familia pichani ni Kichwabuta's
 Bi Julieth Samuel Luangisa pichani kushoto akitoa utaratibu kwa mwanalibeneke Mc Baraka
 Hakika ni ni huzuni na simanzi kubwa
Bi Farida wa Kassim pichani akifanya mawasiliano
 Ndivyo wanavyo onekana sehemu ya waombolezaji
BUKOBAWADAU MEDIA;Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya Mzee wetu Marehemu Samuel Ntambara Luangisa. Ameen!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau