Bukobawadau

TAARIFA YA MATENGENEZO YA MELI YA MV VICTORIA

Meli ya Mv Victoria iliyosimama kwa muda mrefu kutokana na ubovu,hatimae leo June 25,2015 imepandishwa kwenye floating dock kwa ajili ya matengenezo,haijajulikana ni muda gani wa kipindi cha matengenezo hayo
Next Post Previous Post
Bukobawadau