Bukobawadau

TASWIRA MJINI BUKOBA ALHAMISI JUNI 25,2015

Muda mchache tu kabla ya futuru ,Camera yetu uso kwa uso  na Mdau Mangi Said kama anavyo onekana akisikilizia swaumu .
 Mitaa ya kati ,muda mchache kabla ya futuru,tunakutana na  Ndugu  Bushira
Wadau pichani wakiteta  yanayojiri mjini kwetu.
 Makala ya mwanahabari Privatus Karugendo anauzungumzia Mji wa Bukoba ambao ndiyo makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Kuna njia kuu tatu za kuingia mji wa Bukoba. Unaweza kuingia kwa barabara, kwa ndege au kwa meli.
Ukiingia Bukoba kwa ndege utatua kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba ulio ufukweni mwa Ziwa Victoria ambao kwa sasa unafanyiwa ukarabati mkubwa wa upanuzi. Ukiwa unakaribia kutua unaweza kuwa na mawazo kwamba labda utatua majini au kwenye kisiwa cha Musira kilicho karibu sana na mji wa Bukoba.
mji wa Bukoba ambao ndiyo makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Kuna njia kuu tatu za kuingia mji wa Bukoba. Unaweza kuingia kwa barabara, kwa ndege au kwa meli.
Ukiingia Bukoba kwa ndege utatua kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba ulio ufukweni mwa Ziwa Victoria ambao kwa sasa unafanyiwa ukarabati mkubwa wa upanuzi. Ukiwa unakaribia kutua unaweza kuwa na mawazo kwamba labda utatua majini au kwenye kisiwa cha Musira kilicho karibu sana na mji wa Bukoba.
- See more at: http://www.raiamwema.co.tz/nyegera-waitu-bukoba-mjini#sthash.GL2GSQwP.dpuf
kuzungumzia mji wa Bukoba ambao ndiyo makao makuu ya Mkoa wa Kagera. Kuna njia kuu tatu za kuingia mji wa Bukoba. Unaweza kuingia kwa barabara, kwa ndege au kwa meli.
Ukiingia Bukoba kwa ndege utatua kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba ulio ufukweni mwa Ziwa Victoria ambao kwa sasa unafanyiwa ukarabati mkubwa wa upanuzi. Ukiwa unakaribia kutua unaweza kuwa na mawazo kwamba labda utatua majini au kwenye kisiwa cha Musira kilicho karibu sana na mji wa Bukoba.
- See more at: http://www.raiamwema.co.tz/nyegera-waitu-bukoba-mjini#sthash.XkYwmjdN.dpuf
 Uwanja huu umelikaribia sana ziwa kiasi cha kuleta woga wakati ndege inatua na kupaa. Ingawa uwanja huu unaonyesha dalili za kutisha wakati wa kutua, si ajali nyingi zimetokea. Kumbukumbu zinaonyesha ndege mbili za jeshi kupata ajali katika uwanja wa Bukoba.
Mjini Bukoba Soko la Vitumbua likiendelea kuchukua kasi katika mwezi huu wa Ramadhan.
 Ajali ya kwanza ilitokea wakati wa vita ya Kagera. Ndege ya jeshi ilikuwa inaruka ikakosea mwelekeo na kukiparamia kisiwa cha Musira. Miaka ya karibuni ndege nyingine ya jeshi ilikosa mwelekeo wakati ikitua na kuziparamia nyumba za wenyeji.
Ndege nyingine ya Precision Air iliokolewa na matuta; vinginevyo ingeserereka hadi ziwani. Jambo la msingi ni kuomba usiku na mchana isitokee ajali nyingine hadi uwanja huu utakapopanuliwa.

 “Nyegera waitu”; ikimaanisha: Karibu Bwana ni neno la kwanza utakalolisikia Uwanja wa Ndege wa Bukoba. Baada ya neno hilo, ni mfululizo wa mchanganyiko wa Kihaya na Kiingereza. Mfano: “Omundege twaija comfortably bwana” – ikiwa na maana kwamba safari ya ndege ilikuwa shwari.
 Nyegera waitu unaisikia pia ukiingia Bukoba kwa njia ya meli. Bandarini, wenyewe wanaita Kastamu, Nyegera zinakuwa nyingi sana; maana watu wengi wanasafiri kwa meli zaidi yandege.''Kwa ufupi ni sehemu ya maneno kutoka kwenye makala ya mwanahabari Privatus Karugendo''
 Eneo la Kiroyera Tour wadau wakipata upepo mwanana kutoka ziwa Victoria
Kifamilia zaidi wakiwa wametulia wakipata upepo wa ziwa Victoria katika viwanja vya Kiroyera
 Hali hewa safi, usawa wa Ziwa Victoria
 Kisiwa cha Musila kinachokaliwa na takribani wananchi 536
 Kisiwa cha Musila ni moja ya kivutio kikubwa katika Mkoa wa Kagera
 Kijana Godfrey Bwogi pichani
Mdau akiwa anapita kando ya ziwa Viktoria
 Mazingira ya Viwanja vya Kiroyera .
Pichani ni Kijana Dulla yule mkali wa kupiga picha za mnato anae patika Nyumbani Studio
 Taswira mbalimbali maeneo ya fukweni Kiroyera Via Bukobawadau Juni 24,2015
Next Post Previous Post
Bukobawadau